Climb the mountains
Kiungo machachali wa Chelsea Kantewakati akifanya mahojiano na waandishi wa Sunday Times alisema inawezekana leo asingekua mchezaji mpira kwani wakati anaanza shule aliambiwa anafaa kucheza mchezo wa rugby, aliendelea kusema tulipoanza shule tulijifunza vitu vingi kwa pamoja kama kuogelea,mpira,riadha na rugby. Siku moja tulipokua kwenye mechi ya rugby nilimkaba mchezaji moja ndipo mawakala wa kutafuta vipaji waliposema nina morali ya mchezo hali nzuri ya afya wakasema inafaa nicheze rugy moja kwa moja,ndoto hiyo iliisha baada ya mwalimu wangu kuwaambia wazazi wangu kwamba Kante anafaa kua mwanamichezo hivyo nilivyoulizwa napenda mchezo gani chaguo langu lilikua mpira wa miguu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


No comments:
Post a Comment