Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

ChelseaJuventusLeonardo BonucciLeonardo Bonucci mkataba mpyaSeria A

Leonardo Bonucci azikataa Chelsea na Manchester City kwa kuongeza mkataba na klabu yake ya Juventus.


Beki aliyekua anahitajika kwa gharama yoyote na klabu mbili za Uingereza,Chelsea na Man City Leonardo Bonucci 29 leo ametoa utata kuhusu klabu atahamia kwa kuongeza mkataba na klabu yake ya Juventus aliojiunga nao tangu mwaka 2010.Kwa upande wa Chelsea zinaweza kua habari nzuri kwa kinda Andreas Christensen ambaye ilitakiwa auzwe kama Chelsea wangemsajili Bonucci hivyo inategemewa kinda huyo atarudi Chelsea mwisho wa msimu ili kuchukua nafasi ya John Terry.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib