Climb the mountains
Highest paid playersOscarOscar to ChinaShangai SIPG
Oscar kuwa mchezaji wa tatu anayelipwa fedha nyingi duniani pindi atapojiunga na klabu China. anatarajiwa kulaza zaidi ya milioni 700 za kitanzania kwa wiki.
Wiki hii habari ambazo zilitikisa kidogo mashabiki wa Chelsea ni kua kiungo wao Oscar atajiunga na klabu ya Shangai SiPG yenye makazi yake huko China kwa ada ya paundi milioni 60, hata hivyo Oscar anategemewa kupata mshahara mkubwa sana pindi atakapojiunga na klabu ya china wa paundi laki tatu na nusu ambazo kwa haraka ni sawa na milioni 700 za kitanzania kwa wiki hapo akiwa ameshakatwa kodi, kwa mwaka Oscar atalaza mshahara wa paundi milioni 20 sawa na paundi bilioni 40 na kidogo za kibongo kiasi sawa anachopata Cristiano Ronaldo wa Madrid
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment