Climb the mountains
ChelseaEmotional WillianWillian
Wllian atokwa na machozi akiifungia Chelsea goli la pili katika mechi ya Stoke City.
Winga Willian alishindwa kujizuia na kujikutwa akiangusha machozi baada ya kuifungia Chelsea goli lake la pili kwenye mechi na kufanya matokeo kua 3-2 wakati huo. Willian alishangilia huku akiangalia juu kama ishara ya kumkumbuka Mama yake aliyefariki kwa kansa mwishoni mwa mwaka jana, Williana aliweka wazi kua ni kipindi kigumu sana kwake kumpoteza Mama yake kwani alikua mtu wa karibu sana katika maisha yake. Mastar wa Chelsea na Stoke City walionekana wakimbembeleza nyota huyo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)






No comments:
Post a Comment