Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

ChelseaLigi kuuSouthamptonusajili januaryVirgil Van Dijk

Habari za hivi punde....Chelsea watuma ofa ya paundi milioni 60 kumsajili Virgil Van Dijk


Bila shaka  nyota wa Southampton Virgil Van Dijk ndie mchezaji anayehitajika sana kwatika dirisha hili dogo la usajili na bila kupoteza muda klabu ya Chelsea imetuma ofa ya paundi milioni 60 kumnasa nyota huyo anayewaniwa na klabu kama Manchester United na City. Chelsea wanachukua hatua hiyo ili kuimalisha safu yao ya ulinzi.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib