Climb the mountains
Branislav IvanovicChelseaZenit St Petersburg
Baada ya miaka tisa Chelsea hatimaye Ivanovic ajiunga na klabu ya Zenit.
Wakati jana mashabiki wengi wa Chelsea wakiwa busy kufuatilia mtanange kati ya Liverpool na Chelsea legend wao Blanslav Ivanovic alikua anakamilisha usajili wake na kujiunga na klabu ya Zenit yenye makazi yake nchini Urussi. Ivanovic alikosa namba Chelsea baada ya kocha mpya kubadilisha mfumo wa kutumia mabeki watatu nyuma na akimtumia zaidi Azpilcueta,Cahil na Alonso, mashabiki wa Chelsea waliojua kinachoendelea walimpongeza nyota wao na kumtakia kila la kheri katika klabu yake mpya ya Zenit.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment