Climb the mountains
David LuizGeorginio WijnaldumLiverpool vs Chelsea
Liverpool vs Chelsea hamna mbabe,Costa aikosesha Chelsea ushindi baada ya kukosa penati ya dakika za mwishoni.
Ilikua mechi ya vuta nikuvute wakati klabu ya Liverpool wakianza mechi kwa kasi na kumiliki mpira hata hivyo David Luiz aliiandikia Chelsea goli la kwanza dakika ya ya 24 na baadae Georginio Wijnaldum kuisawazishia Liverpool dakika ya 57. Kwa matokeo hayo klabu ya Chelsea itaendelea kuongoza ligi kwa alama 56 akifuatiwa na Tottenham mwenye alama 47
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment