Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

ArsenalChelseaEden Hazard

Eden Hazard:Chelsea tuliwaachia Arsenal tungeweza kuwafunga matatu mengine.


Winga aliyewapa wakati mgumu Arsenal katika mechi iliyopigwa katika dimba la Stamford Bridge alifunguka na kusema kua Chelsea waliachia sana Arsenal kwani wangeweza kuwafunga zaidi hata hivyo magoli hayo wameyaweka akiba kwa ajili ya mechi inayofuata. Akihojiwa baada ya mechi kumalizika Mbelgiji huyo alisema wangeweza kuwafunga Arsenal magoli mengine mawili au matatu hata hivyo hawakufanya hivyo kwa kua wameyaacha magoli hayo kwaa ajili ya mechi inayofuata. Hazard alikua moto kwa Arsenal akiwafunga goli la pekee baada ya kuwapiga chenga mabeki kadhaa wa Arsenal.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib