Climb the mountains
AFCON 2017ChelsealiverpoolSadio ManeSenegalUnited Kingdom
Baada ya Senegal kutolewa AFCOn na Liverpool kuandamwa na matokeo mabovu Liverpool wamkodia ndege nyota wao Sadio Mane ili aiwahi mechi yao dhidi Chelsea.
Baada ya klabu ya Liverpool kuandamwa na mtokeo mabovu na kutololewa kwenye makombe mawili mfululizo matajiri wa klabu ya Liverpool wamemkodia ndege binafsi nyota wao aliyekua akiitumikia timu yake ya taifa ya Senegal ili aweze kurudi Uingereza kwa wakati na kuwepo kwenye kikosi kitakacho cheza na vinara wa ligi hiyo ya Uingereza klabu ya Chelsea, tangu Mane aondoke kwenda kwenye mashindano ya AFCON klabu yake ya Liverpool imekua na mfululizo wa matokeo mabovu.
Tags: AFCON 2017
, Chelsea
, liverpool
, Sadio Mane
, Senegal
, United Kingdom
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment