Climb the mountains
AFCONAFCON 2017Baba RahmanChelseaGhana
Baba Rahman nje ya AFCON baada ya kupata majeraha,huenda akakaa nje ya uwanja mpaka mwisho wa msimu.
Beki wa Chelsea aliyetolewa kwa mkopo kwenda Schalke 04 amepata majeraha katika mashindano ya AFCON akiwa na timu yake ya taifa ya Ghana na inatazamiwa atakua nje ya uwanja mpaka msimu utapoisha, Baba anatazamiwa kusafiri kurudi Ujerumani ambapo atafanyiwa operesheni ya kifundo cha mguu. Nchi yake ya Ghana wamesema wako tayari kutoa mchango wao kwa mchezaji huyo huku wakimtaja kama mchezaji anayejituma sana uwanjani.
Tags: AFCON
, AFCON 2017
, Baba Rahman
, Chelsea
, Ghana
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment