Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

AFC BournemouthAsmir BegovicChelsea

Chelsea wawaambia Bournemouth watoe paundi milioni 12 kama wanataka kumsajili Begovic.


Klabu ya Chelsea ilikataa dau la paundi milioni 10 kutoka kwa AFC Bournemouth wanaotaka kumsajili kipa wa Asmir Begovic na kuwaambia watoe kiasi cha paundi milioni 12 kama wanataka kumsajili golikipa huyo wa akiba.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib