Climb the mountains
ChelseaEvertonIvanovicLeicester CityRussiawest bromZenit St Petersburg
Blanslav Ivanovic azikataa klabu za Everton,West Brom na Leicester aamua kwenda kujiunga na klabu tajiri huko Urussi.
Beki mkongwe wa kulia na kati Branslav Ivanovic amezitosa klabu mbalimbali ligi kuu ya Uingereza ili kujinga na klabu ya Zenit St Petersburg ya nchini Urussi beki huyo mkongwe ameitumikia klabu ya Chelsea kwa miaka yenye mafanikio kwani aliweza kua mtu muhimu sana kwenye kikosi cha Chelsea na kuwasaidia kuchukua makombe mbalimbali ndani na nje ya Uingereza Ivanovic atajiunga na Zenit akisaini mkataba wa miaka miwili na nusu na atakua akilipwa paundi elfu themanini kwa wiki.
Tags: Chelsea
, Everton
, Ivanovic
, Leicester City
, Russia
, west brom
, Zenit St Petersburg
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment