Climb the mountains
Antonio ConteChelseaJorge SampoliSevilla
Jorge Sampoli: Chelsea walinifuata kuniomba niwe kocha wao kabla ya Conte nikawakatilia.
Kocha wa Sevilla Jorge Sampoli amesema kua klabu ya Chelsea ilimfuata yeye kabla haijamfuata kocha wa Antonio Conte, Kocha huyo aliyekua kocha wa Argentina amesema kua aliongea na Roman Abramovich jinsi ya kuifufaa klabu ya Chelsea iliyokua ikisua sua kwenye ligi hata hivyo alikataa kujiunga na wababe hao wa Uingereza na kuamua kujiunga na klabu ya Sevilla ya nchini Hispania. Hata hivyo Chelsea hamna walichokipoteza kwa kumkosa kwani kocha Antonio conte ameushangaza ulimwengu kwa kufanya vizuri na klabu ya Chelsea kwenye msimu wake wa kwanza tuu licha ya wachambuzi wengi wa soka kutompa nafasi mwanzo wa msimu.
Tags: Antonio Conte
, Chelsea
, Jorge Sampoli
, Sevilla
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment