Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]


Klabu ya Bournemouth imeweka wazi kua inamtaka nahodha wa Chelsea John Terry kwa mkopo mpaka mwisho wa msimu. kocha wa Bournemouth Eddie Howe ambaye amepewa sifa nyingi kwa kumrudisha kiungo wa Arsenal Jack Wilshere kwenye kiwango chake cha awali alisema kua kama John Terry anataka kurudi kwenye kikosi cha kwanza basi hii ndio nafasi yake anachotakiwa kufanya ni kujiunga na sisi. Haifhamiki kama John Tery atakubali kwani alisema hafikirii kuichezea klabu nyingine yoyote zaidi ya Chelsea kwenye ligi ya Uingereza.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib