Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]


Klabu ya Chelsea imetuma ofa kumsajili kiungo mshambuliaji wa klabu ya Bayer Leverkusen Hakan Calhanoglu ambaye pia anafukuziwa na klabu ya Manchester United. Chelsea wanatafuta mtu wa kuziba nafasi ya Oscar waliyemuuza kwenda China.Hata hivyo itakua ngumu kwa Leverkusen kumuachinyia nyota wao kwenye dirisha hili la usajili kwani wanajaribu kukiweka kikosi vizuri ili waweze kumaliza ligi nafasi za juu.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib