Climb the mountains
ChelseaJohn TerryTerry Red card appeal
FA waikataa rufaa ya chelsea kupinga kadi nyekundu ya John Terry.
Chama cha soka nchini Uingereza kimeikataa rufaa iliyowasilishwa kwao na Chelsea kupinga kadi nyekundo aliyopewa nahodha wao john Terry katika mechi ya kombe la FA dhidi ya timu ya Peterborough,kwa maamuzi hayo nahodha huyo wa Chelsea atatumikia adhabu yake ya kukosa mechi moja,hata hivyo haitakua na madhara sana kwa Chelsea kwani safu yake ya mabeki iko imara huku wakiwa hawana majeruhi yoyote.
Tags: Chelsea
, John Terry
, Terry Red card appeal
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment