Climb the mountains
Antonio ConteChelseaDiego Costa
Breaking News : Diego Costa ameachwa kwenye Kikosi kitachovaana na Leicester kisa kugombana na makocha.
Mshambuliaji wa Chelsea Diego Costa ameachwa kwenye Kikosi cha Chelsea kitakachocheza dhidi ya Leicester ikielezwa kua kugombana na kocha wa viungo pamoja na meneja Antonio Conte ndio sababu kubwa ya kuachwa, Diego Costa hajafanya mazoezi na Kikosi cha Chelsea siku tatu mfululizo. Ofa kutoka klabu ya China pia inahusishwa kama sababu kwani klabu hiyo ipo tayari kumlipa paundi milioni 30 kwa mwaka kama atakubali kujiunga nao.
Tags: Antonio Conte
, Chelsea
, Diego Costa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment