Climb the mountains
Klabu ya Chelsea imeainisha mipango yake ya kumnunua Mjerumani Thomas Muller ikiwa kinara wao wa mabao Diego Costa atailazimisha klabu hiyo imuuze nchini China,Diego Costa aliaachwa na Kikosi cha Chelsea kilichocheza dhidi ya Leicester ikielezwa kua aligombana na makocha Uwanjani ila pia sababu nyingine kubwa ikiwa ni kulazimisha timu hiyo kumuuza.
Tags: Chelsea
, Diego Costa
, Thomas Muller
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment