Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

Antonio ConteChelseaKocha bora wa mwezipremier league coach of the month

Conte awa kocha wa kwanza kushinda tuzo ya kocha bora wa mwezi mara 3 mfululizo.



Kocha wa Chelsea Antonio Conte ameshinda tena tuzo ya kocha bora wa mwezi safari hii akishinda tuzo ya kocha bora mwezi December, kwa ushindi huo Conte amekua kocha bora wa kwanza ligi kuu ya Uingereza kushinda tuzo hiyo mara 3 mfululizo. Antonio Conte amefanikiwa kukiongoza Kikosi cha Chelsea kushinda mechi 13 mfululizo.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib