Climb the mountains
ChelseaChinaDiego CostaDiego Costa ContractDiego Costa return
Diego Costa arudi mazoezini Chelsea
Baada ya kukosa mechi dhidi ya Leicester mshambuliaji huyo amerudi rasmi mazoezini katika klabu yake ya Chelsea ambapo awali ilielezwa kua aligombana na makocha wake na kususia mazoezi hivyo kocha Antonio Conte akaamua kumuacha kwenye kikosi chake lakini mapema wiki hii Costa alianz kuonekana kwenye uwanja wa mazoezi wa Chelsea Cobham akiwa anafanya mazoezi peke yake na baadae akijumuika na wenzake.Sababu kubwa iliyofanya Diego Costa kususia mazoezi ni dau kubwa kutoka klabu ya China ambao walikua tayari kumpa mshahara mara tatu zaidi ya anaolipwa Chelsea na kua mchezaji anayelipwa zaidi duniani.
Tags: Chelsea
, China
, Diego Costa
, Diego Costa Contract
, Diego Costa return
Subscribe to:
Post Comments (Atom)





No comments:
Post a Comment