Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

AFC BournemouthChelseaLoan recallNathan Ake

Chelsea kumuita Nathan Ake kutoka Bournemouth


Klabu ya Chelsea inajiandaa kumuita beki wake kinda kutoka klabu ya AFC Bournemouth ambayo alikua akiichezea kwa mkopo, hii imekuja baada ya kinda huyo kuonyesha uwezo mkubwa kukaba pamoja na kufunga hivyo Chelsea wameamua kumiita ili awe sehemu ya kikosi cha msimu huu, ikumbukwe Nathan Ake ni kinda aliyebarikiwa kucheza nafasi mbali mbali kama beki wa kati,kushoto na kiungo mkabaji.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib