Climb the mountains
BrentfordChelseaFA CupFA Cup Round 4
Chelsea wapangwa kucheza na Brentford kombe la FA raundi ya nne.
Klabu ya Chelsea imepangwa kucheza na klabu ya Brentford katika uwanja wake wa nyumbani (Stamford Bridge) katika raundi ya nne ya kombe la FA, klabu ya Chelsea ilifanikiwa kutinga raundi ya nne kwa kuitoa klabu ya Peterborough kwa jumla ya magoli manne kwa moja
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment