Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

ArsenalChelseaRodriguezusajili januaryUsajili wa ChelseaWolfsburg

Chelsea wajiunga kwenye mbio za kuinasa saini ya Ricardo Rodriguez,wakifanya kila mbinu kuwashinda mahasimu wao Arsenal wanaomfukuzia pia.


Klabu ya Chelsea wameingia kwenye mbio za kuinasa saini ya beki wa Wolfsburg Ricardo Rodriguez ili kuimarisha safu yao ya ulinzi. Hii sio mara ya kwanza Chelsea kumtaka mchezaji huyo kwani walijaribu kumsajili wakati wa dirisha la usajili majira ya joto ila juhudi zao hazikuzaa matunda. Arsenal nao ni timu ambayo imekua ikimfuatilia Rodriguez kwa karibu na inasemekana nao wanafikiria kumsajili.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib