Kocha wa klabu ya Chelsea Antonio Conte ameweka wazi kua klabu ya Chelsea itafanya kila jitihada kuimarisha kikosi chake kwenye dirisha hili la usajili. Conte alisema "Kuna baadhi ya sehemu kama tukiweza kupata jawabu sahihi ni vizuri kulitumia hilo jawabu" aliendelea"Mbio za ubingwa ni ndefu sana najua pia ni wakati mgumu kwenye dirisha la usajili kumpata mchezaji sahihi unayemhitaji bila ushindani ila mimi na uongozi tunalijadili hili.Pia klabu ya Chelsea inafukuzia rekodi ya aina yake kwani kama ikiifunga klabu ya Tottenham Hot Spurs siku ya jumatano itaweka rekodi ya kua timu ya kwanza kushinda mechi 14 mfululizo
Climb the mountains
chelsea 14 win in row recordChelsea transfer newsConteusajili january
Conte:Tutaimarisha kikosi chetu kwenye dirisha hili la Usajili.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment