Climb the mountains
ChelseaCHelsea UnbeatenDele AliEpltottenham
Tottenham waifunga Chelsea 2 bila na kukatisha ndoto zao za kuvunja rekodi ya mechi 14 bila kufungwa.
Jana kila timu iliingia uwanjani ikiwa na mpango wake Chelsea wakiwa na mpango wa kushinda mechi yao ili kufikisha mechi 14 bila kufungwa na kuweka rekodi mpya ila Tottenham waliingia wakiwa na nia ya kulipiza kisasi baada ya Chelsea kuwakatalia kuchukua ubingwa msimu uliopita na pili kuizuia Chelsea isivunje rekodi. Magoli ya Dele Alli yalitosha kuipa Tottenham ushindi kwenye mechi hiyo hata hivyo Chelsea bado anaongoza ligi hiyo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment