Klabu ya Chelsea imepata pigo baada ya beki waliyekua wanamfukuzia kukubali
kujiunga na klabu ya Bayern Munich kwa mkataba wa miaka mitano, Chelsea wanataka kujenga upya safu yao ya ulinzi kwani wakongwe John Terry na Gary Cahill wote wanakaribia kwenye ungwe zao za mwisho katika maisha ya soka na David Luiz pia ambaye kwa sasa ana miaka 29. Sule amekua na michango mkubwa sana katika timu yake ya Hoffenheim ambayo imekua ikifanya vizuri sana msimu huu hasa katika safu ya ulinzi. Beki huyo anatarajiwa kujiunga na Bayern Munich mwisho wa msimu.
Climb the mountains
Bayern MunichChelseaHoffeinamNiklas Sule
Chelsea wamkosa Niklas Sule, akubali kujiunga na miamba ya Bundesliga.
Tags: Bayern Munich
, Chelsea
, Hoffeinam
, Niklas Sule
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment