Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

ChelseaChelsea new stadiumRoman Abramovich

Chelsea wapewa kibali kufanya upanuzi wa uwanja.



Halimashauri ya mji wa London na viongozi wa mtaa wa Fulham wameipatia Chelsea kibali cha kufanya upanuzi wa uwanja wao wa zamani ambao utakua unachukua mashabiki 60000 waliokaa baada ya kukamilika. Halimashauri walisema kama uwanja ukikamilika hautakua uwanja tuu bali utakua moja ya kivutio kikubwa cha utalii. Uwanja huo utakaojengwa kwa pesa za mmiliki wa Chelsea Mr. Roman Abramovich unategemewa kugharimu kiasi cha paundi million 500, (sio chini ya bilioni 600 za kitanzania)

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib