Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

Antonio ConteChelseaMichail AntonioWest Ham

Chelsea wanafikiria kutuma ofa kumsajili Michail Antonio kukiongezea nguvu kikosi chake kwenye mbio za ubingwa.


Klabu ya Chelsea wamemuweka winga na mshambuliaji wa West Ham United Michail Antonio katika orodha ya wechazaji inaowaangalia ili kuwasajili katika dirisha hili dogo ili kukiongezea nguvu kikosi chake. Antonio ndiye mchezaji wa West Ham mwenye magoli mengi msimu wa 2016/2017 akiwa na magoli 8 katika mechi 27.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib