Climb the mountains
BournemouthChelseaChelsea promise to Nathan AkeNathan Ake
Hiki ndo alicho ahidiwa Nathan Ake baada ya kukubali kurudi Chelsea.
Klabu ya Chelsea ilimuahidi Nathan Ake nafasi katika kikosi cha kwanza ikiwa na maana kua atapewa nafasi ya kutosha kwenye mechi za mzunguko wa pili, wakati Chelsea walipomuambia Nathan Ake anatakiwa kurudi Chelsea kwa kua amekua akifanya vizuri katika klabu ya Bournemouth kilimshtua kinda huyo ndipo alipotaka kuhakikishiwa kua atakua anapewa nafasi katika kikosi cha kwanza na sio kuwekwa benchi,ndipo Chelsea walipokubaliana na maombi yao hivyo kinda huyo machachali akakubali kurudi darajani.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment