Climb the mountains
8 points clearChelseaEnglish Premier League
Chelsea waongoza ligi kwa pointi 8 baada ya ushindi dhidi ya Hull City.
Klabu ya Chelsea jana ilijikita kileleni zaidi baada ya ushindi dhidi ya Hull City na kuwafanya kuongoza kwa pointi nane zaidi Chelsea aliyetumia nafasi vizuri baada ya wapinzani wake kuteleza kwenye mechi zao ambapo Manchester United na City waliambulia droo huku Liverpool akikubali kipigo cha goli 3 kwa 2 kutoka kwa Swansea,katika mchezo huo ambao mshambuliaji wa Chelsea Diego Costa alifunga goli la kwanza baada ya kurudi kwenye kikosi cha kwanza,Diego Costa aliachwa kwenye kikosi kilichovaana na Leicester wikiendi iliyopita ikielezwa sababu ni kugombana na makocha.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment