Climb the mountains
ChelseaChelsea to sell CostaChinaDiego CostaWorld record fee
Chelsea wasema milango iko wazi kwa klabu inayomtaka Diego Costa ila itatakiwa kuwalipa dau litakalovunja rekodi ya usajili paundi milioni 130.
Klabu ya Chelsea wako tayari kumuuza mshambuliaji wao Diego Costa msimu huu lakini kwa ada ya paundi milioni 130,mapema wiki iliyopita klabu moja ya China walikua tayari kutoa paundi milioni 80 kiasi ambacho Chelsea walikikataa na kupelekea mshambuliaji huyo kugomea mazoezi ya Chelsea ila kwa sasa Chelsea wameona ni bora kuweka kiwango kikubwa kitakachoshindwa kufikiwa au kama kikifikiwa wawe wamepata pese ya kumununu mshambuliji mwingine mwenye hadhi ya soka kidunia (World Class Player).
Tags: Chelsea
, Chelsea to sell Costa
, China
, Diego Costa
, World record fee
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment