Climb the mountains
AngolChelseaJohn TerryPeterboroughRed Card appeal
Conte:Tutakata rufaa kupinga kadi nyeukundu ya John Terry.
Kocha wa Chelsea Antonio Conte amemtetea mchezaji wake John Terry baada ya kupewa kadi nyekundu katika mechi ya 50 kwenye kombe la FA dhidi ya klabu ya Peterborough akisema kua watakata rufaa kupinga kadi hiyo kwani nahodha wa Chelsea hakumgusa mshambuliaji wa Peterborough Angol. Conte aliendelea kusema kua anaheshimu maamuzi ya refa wa mchezo ila anaamini kua John Terry hakua amemchezea faulo mchezaji huyo.
Tags: Angol
, Chelsea
, John Terry
, Peterborough
, Red Card appeal
Subscribe to:
Post Comments (Atom)




No comments:
Post a Comment