Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

ChelseaChelsea new stadiumUwanja mpya wa Chelsea

Wakati Chelsea wakisubiri kibali cha ujenzi wa uwanja hizi ni picha kadhaa ya jinsi utakavyokuja kua.


Chelsea wanategemea kupata kibali wiki hii ili kuujenga upya uwanja wao wa Stamford Bridge ambao kwa sasa unachukua watu 42,000 waliokaa ili uweze kuchukua watu 60,000 waliokaa. wakati wa ujenzi huo Chelsea wanategemea kuhamia katika uwanja wa Wembley ambao ni uwanja mkuu wa timu ya taifa ya Uingereza. Na hizi ni picha jinsi uwanja mpya wa Chelsea utakavyoonekana pindi utakapokamilika.






No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib