Climb the mountains
Alvaro MorataChelseareal madridTetesi Za Usajili UlayaThibaut CourtoisUsajili ChelseaUsajili Real Madrid
Madrid waanza mazungumzo kumsajili Thibaut Courtois mwisho wa msimu. Chelsea wawataka wawape Morata kwenye dili hilo.
Klabu ya Real Madrid wamefungua mazungumzo na klabu ya Chelsea kuona uwezekano wa kumsajili mlinda mlango wao nambari moja Thibaut Courtois mwisho wa msimu huu,inasemekana Chelsea walikua tayari kufanya biashara kama Real Madrid watamuongeza Alvaro Morata kwenye dili hilo ila kitu ambacho Madrid wamekikataa wao wakitaka walipe pesa peke yake. Thibaut ana yupo chini ya mkataba na klabu ya Chelsea ambao unatazamiwa kuisha mwaka 2019 na mpaka sasa amekaataa kuongeza mkataba mwingine.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment