Climb the mountains
Antonio ConteChelseaRuben Loftus CheekRuben Loftus Cheek wanted
Conta awapiga stop Chelsea kumtoa Ruben Loftus Cheek kwa mkopo,asema anamhitaji kwenye kikosi chake
Kocha wa Chelsea alilazimika kuingilia kati katika sakata la kiungo chipukizi wa Chelsea Ruben Loftus Cheek kuuzwa au kutolewa kwa mkopo baada ya Chelsea kupokea ofa takribani sita kutoka timu mbali mbali zinazomhitaji mchezaji huyo katika timu hizo ikiwemo klabu ya Monaco ya ufaransa,Swansea,Watford, Middelsbrough,West ham na Stoke City zenye makazi yake nchini Uingereza. Conte aliweka wazi kua anamhitaji sana Ruben katika kikosi chake kwani mpaka sasa tayari imeshawauza viungo wake wawili Osacr na Mikel kwenda China, pamoja na kuzuia Chelsea kumuuza kind ahuyo pia alimtaka Ruben ajitume sana ili aweze kupata namba mara kwa mara hata kwenye mechi kubwa.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment