Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

#ZoumaIsBackAntonio ConteKurt Zouma

Kurt Zouma amshukuru Conte kwa kumpa nafasi baada ya kukaa nje ya uwanja kwa miezi 11.


Kinda wa Chelsea na timu ya taifa ya Ufaransa Kurt Zouma amemshukuru kocha wa Chelsea Antonio Conte kwa kumuamini na kumpa nafasi tena baada ya kupona majeraha yaliyomuweka nje ya uwanja kwa miezi 11,Kurt Zouma pia alitumia nafasi hiyo kuwashukuru madaktari kwa kua nae bega kwa bega katika kumtibu. Zouma alisema kua Conte alipofika alimwambia "Upone haraka kwani ukishapona ninataka ucheze" anasema maneno hayo yalimuongezea nguvu kwani alijisikia furaha kuona kocha wake anamuamini.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib