Climb the mountains
Kocha wa Chelsea Antonio Conte alisema kwa sasa klabu ya Chelsea inamshuhudia Pedro aliyekua kwenye kiwango kama kile cha Barcelona Conte alisema"Kama tunavyoona uwezo wake sio tu kwamba anafunga magoli hapana bali anacheza vizuri pia katika kuisaidia timu kufanya vyema zaidi. Tunategemea ataendelea kufanaya vizuri zaidi pia nafurahishwa jinsi Willian,Diego Costa na Eden Hazard jinsi walivyoweza kurudi katika kiwango chao bora kama awali kwani unapokua na wachezaji wengi wanaofanya vizuri inakupa wakati mgumu kuchagua nani ataanza lakni pia inasaidia timu kua imara kua upande.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment