Climb the mountains
ChelseaConteliverpoolManchester CityManchester unitedswansea
Manchester United,City na Tottenham wa droo wakati Liverpool akikubali kufungwa tatu.
Wakati mbio za ubingwa wa ligi kuu ya Uingereza zikiwa katika raundi ya lala salama lleo hii mahasimu wote wa Chelsea wameshindwa kufanya vizuri huku Tottenham akimshika shati Manchester City na kutoka droo ya 1 kwa 1 wakati Manchester united akinusurika kutolewa nishai na vijana Stoke City ila Liverpool akikubali kuchezea kichapo cha magoli matatu akiwa dimba la nyumbani kutoka kwa swansea kwa matokeo ya mechi kutampa nafasi zaid Chelsea kuusogelea ubingwa wa Uingereza kama atashinda mechi yake ya leo dhidi ya Hull City
Tags: Chelsea
, Conte
, liverpool
, Manchester City
, Manchester united
, swansea
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment