Climb the mountains
BatshuayiChelseaJanuary TransfersLilleMitch BatshuayiUsajili wa Chelsea
Licha ya kutompa namba kwenye kikosi cha kwanza Conte akataa kumtoa Mitch Batshuayi kwa mkopo.
Kocha wa Chelsea Antonio Conte amekataa kumtoa kwa mkopo mshambuliaji Mitch Batshuayi kwenda klabu ya Lille yenye makazi yake nchini Ufaransa licha ya nyota huyo kutokupewa nafasi katika kikosi cha kwanza,Batshuayi alisajiliwa na Chelsea kwa kiasi kikubwa cha pesa kitu kilicho wafanya watu wengi kuamini kua mshambuliaji huyo atacheza pamoja na Diego Costa hata hivyo imekua tofauti. Conte pia aliweka bayana mwezi ukiopita kua Mchezaji huyo hataondoka mwezi January. Batshuayi amekua kipenzi cha mashabiki wa Chelsea jinsi anavyoshiriki kupost vitu kwenye mtandao na kujibu maoni ya mashabiki.
Tags: Batshuayi
, Chelsea
, January Transfers
, Lille
, Mitch Batshuayi
, Usajili wa Chelsea
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment