Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

Antonio ConteChelseaDavid Luiz

David Luiz:Mapenzi ya Conte kwenye mpira yanatupa morali wachezaji.


 David Luiz amesema jinsi kocha wa Chelsea Antonio anavyopenda soka kimewafanya wachezaji wengi kujituma zaidi. Beki huyo aliyerudishwa darajani na Antonio Conte aliweka wazi kua kwa Conte kila mechi ina umuhimu huku akisimulia jinsi Conte anavyokua anafuatilia kila kinachoendelea wakati wa mazoezi pamoja na kutoa maelekezo ambayo wachezaji huyafuata na ndio maana wachezaji wengi wamekua kwenye viwango vizuri msimu huu,aliendelea kusema kua Conte anajua uwezo na udhaifu wa kila mchezaji na amekua akiwafundisha kwa kuangalia kipi mchezaji anaweza zaidi na kipi hakiwezi David Luiz alimalizia kwa kusema Conte ni moja ya makocha wazuri waliowahi kumfundisha

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib