Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

ChelseaDiego Costa Vs Pedrotottenham

Diego Costa na Pedro wagombana uwanjani,ni baada ya moja kuchelewa kwenye nafasi yake wakati wa Counter Attack.



Pamoja na Chelsea kufungwa pia inaonekana haikua siku nzuri kwa upande wa Chelsea baada ya nyota wake wawili Diego Costa na Pedro kugombana uwanjani baada ya Pedro kuchelewa kufika kwenye nafasi yake na hivyo kuipoteza nafasi nzuri ya kufunga goli, Chelsea walianza kwa counter attack nzuri huku mpira ukipita kwa wachezaji kadhaa na kumfikia Diego Costa ila baada ya Costa kuipiga pasi upande Pedro ikapotea kwa kua Pedro hakua amefika upande wake ndipo nyota hao waliporushiana maneno kidogo na baadaye wakaendelea na mechi.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib