Kiungo wa Chelsea John Mikel Obi amefuzu vipimo katika klabu Tianjin TEDA na pia ameshakubaliana nao makubaliano binafsi ya mkataba hivyo itafanya Mikel kua mchezaji wa pili wa Chelsea msimu huu kujiunga na klabu ya China. John mikel Obi amekaa Chelsea kwa takribani misimu 9 akiisaidia Chelsea kushinda makombe yafuatayo
- Champions League-1
- Premier League 2
- FA Cup -2
- Europa League-1
- League Cup 2



No comments:
Post a Comment