Kiungo wa Chelsea John Mikel Obi anafikiria kujiunga na klabu ya Valencia baada ya kufanya mazungumzo na viongozi wa klabu hiyo kipindi cha Christmas, John Mikel amechukua hatua hiyo baada ya kushindwa kupata namba katika kikosi cha Antonio Conte na hivyo kuamua kutafuta timu atakayopata namba mara kwa mara. Mapema weiki hii Obi alikataa ofa ya kujiunga na klabu ya China na kuweka bayana kua bado anataka kucheza ligi za Ulaya.



No comments:
Post a Comment