Climb the mountains
ChelseaFA CupKurt ZoumaPeterborough
Kurt Zouma kucheza mechi yake ya kwanza tangu aumie.
Kocha wa Chelsea Antonio Conte amethibitisha kua beki Kurt Zouma atacheza mechi yake ya kwanza tangu aumie karibu miezi 11 iliyopita, beki huyo ambaye alianza kujihakikishia namba kabla ya kuumia anatarajiwa kurudi uwanjani na kikosi cha kwanza cha Chelsea katika mechi dhidi Peterborough kwenye kombe la FA,Zouma alikua anatajwa kama ndie mrithi wa beki mkongwe John Terry kabla ya kupata majeruhi yaliyomuweka nje ya uwanja kwa muda mrefu.
Tags: Chelsea
, FA Cup
, Kurt Zouma
, Peterborough
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment