Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

ChelseaOscarShangai SIPG

Oscar atua rasmi China,apewa mapokezi ya aina yake.(Video)

Aliyekua kiungo wa Chelsea Oscar ametua rasmi China kujiunga rasmi klabu ya Shangai SIPG. Kiungo huyo alikuta mashabiki wengi wakimsubiri huku wakitaka asaini jezi zao. Oscar amejiunga na klabu ya kwa ada ya paundi milioni 60 .




No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib