Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

Ander HerreraChelseaEPL 2016/17Manchester united

Ander Herrera:Chelsea wanastahili kuongoza ligi ni timu bora tuliyocheza nayo msimu huu.


Kiungo wa klabu ya Manchester United Ander Herrera amefunguka na kusema klabu ya Chelsea wanastahili kuongoza ligi kwa sasa na wana kila haki ya kua mabingw msimu huu. Herrera alisema "Mechi ambayo tulistahili kuipoteza ni mechi ya Chelsea, wanacheza vizuri ni ngumu sana kuwafunga na pia wanapanga mashambulizi yao vizuri sana kusema ukweli nadhani wanastahili kuongoza ligi" Chelsea kwa sasa wanongoza ligi kwa tofauti ya alama tisa

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib