Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

ChelseaFrank LampardManchester CityNew York City FcUEFA B Coaching LicenceWest Ham

Baada ya kutangaza kustaafu Frank Lampard arudii Chelsea,hiki ni kikubwa kilichomrudisha.


                     Baada ya kutangaza kustaafu kiungo bora kabisa kupata kutokea Uingereza na klabu ya Chelsea Frank Lampard amerudi rasmi Chelsea kwa ajili ya kuanza safari yake mpya ya ukocha. Frank lampard amepangwa kwenye Academy ya vijana wa Chelsea inayotumia uwanja wa Cobham ambapo kupitia huko ataifukuzia lesini ya ukocha yenye hadhi ya (UEFA B Coaching Licence) kwa mafunzo ya darasani na uwanjani.
                     Frank Lampard ambaye amecheza mpira kwa Takribani miaka 21 akizitumikia timu za West Ham,Chelsea,Manchester City na  New York City FC alitundika daluga akiwa na miaka 38 huku akiwa amefanikiwa kushinda mataji 11.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib