Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

ChelseaThibaut CourtoisUEFA

Thibaut Courtois:Chelsea kutocheza UEFA sio sababu ya kufanya vizuri sana kwenye ligi kama watu wanavyosema


Kipa namba moja wa Chelsea Thibaut Courtois amezitupilia mbali tuhuma kua Chelsea anafanya vizuri kwenye ligi sababu hawachezi ligi ya mabingwa Ulaya,alisema"Kila timu inataka kucheza ligi ya mabingwa Ulaya kwani inakupa hamasa kubwa ya mpira kucheza mechi mbili mpaka tatu ndani ya wiki moja,tuna wachezaji wengi sana benchi ambao wanataka kucheza na wanatakiwa kucheza ila sababu hatupo kwenye mashindano mengi kunakua na ukumo wa dakika hivyo wengine kukosa nafasi kabisa" Thibaut Courtois alienda mbali zaidi akisema kua wapinzani wao wasitegee kabisa Chelsea kupoteza mechi kirahisi hivi sasa hivyo wasijipe moyo wakihisi Chelsea atateleza kwani wachezaji hatujajisahau na tunajituma kwa bidii.


No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib