Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

ChelseaJose MourinhoManchester unitedWillan

Willian akiri kua Jose Mourinho alijaribu kumsajili mwanzoni mwa msimu.


Winga wa Chelsea Willian amekiri kua kocha wa aliyekua kocha wa Chelsea na sasa anaifundisha Chelsea Jose Mournho alijaribu kumsajili kwenda Manchester United mwanzoni wa msimu jaribio ambalo lilishindikana, Willian alisema "Kulikua na timu inayonitaka na ya kwanza ilikua Manchester United sijajua kuhusu nyingine maana kulikua na habari nyingi sana kwenye mtandao na ninashukuru kusikia timu zilikua zikinihitaji ,sijajua kama nitabaki hapa au nitaondoka ila ninachoweza kusema sasa ni kua nina furaha hapa Chelsea" hata hivyo mchezaji huyo ambaye alikua tegemeo sana wakati wa kocha Jose Mourihno hasa wakati Chelsea wanafanya vibaya kwenye ligi ameshindwa kupata nafasi ya uhakika Chini ya Antonio Conte ambaye amekua akimutumia sana Pedro.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib