Climb the mountains
Cesc FabregasChelseaDiego CostaPedroswansea
Chelsea wawapiga Swansea 3-1 waendelea kuongoza ligi ila sasa kwa tofauti ya alama 11.
Klabu ya Chelsea jana waliendeleza kampeni yao ya kufukuzia ubingwa wa ligi kuu ya Uingereza kwa kuichapa Swansea magoli matatu kwa moja na kujikita kileleni mwa ligi hiyo kwa tofauti ya alama 11. Magoli ya Chelsea yalifungwa na Cesc Fabregas(Goli la kwanza) ambaye alikua moto wa kuotea mbali hiyo jana, Pedro Rodriguez(Goli la pili) na Diego Costa akakamilisha idadi ya magoli kwa kufunga goli la tatu huku Swansea wakipata goli lao la kufutia machozi kutoka kwa Llorente.
LIKE OUR FACEBOOK PAGE CLICK HERE
Tags: Cesc Fabregas
, Chelsea
, Diego Costa
, Pedro
, swansea
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment